🤲 DOGO SIDE 👇
- Abonnés
- 10.7M
- J'aime
- 161.5M
- Vues
- 34.3M
- Engag.
- 1.0%
@neloconstruction
OFISI ZETU ZINAPATIKANA A.Mbezi dar es salaam B.Ilazo dodoma Namba ya ofisi :0745063424
Nelo construction Co. Ltd est un créateur TikTok, avec 71.7K abonnés et 238.8K j'aime. Ses vidéos cumulent en moyenne 6.8K vues, pour un taux d'engagement de 0.2%. Hashtags les plus utilisés: #neloconstructiontz, #dodomatanzania et #mwanza.
+0 abonnés au cours des 18 derniers jours. Prévision: 71.7K abonnés dans 7 jours, 71.7K dans 30 jours (239.3K j'aime).
Tarif estimé par publication sponsorisée: de $355 à $1.8K, sur la base d'environ 5 à 25 $ pour 1 000 abonnés. C'est une estimation à partir de la taille de l'audience, pas un revenu déclaré.
Chargement…
Chargement…
Chargement…
Chargement…
Dernière mise à jour:
NELO CONSTRUCTION- ILAZO DODOMA (KHALAIF PLAZA FLOOR YA PILI)
Nelo construction company,tunatimiza adhma ile tulioikusudia tangu mwanzo wa safari yetu ya kuelekea future yakuhakikisha yale malengo yetu matatu tunayatimiza kila mwaka #tanzania #zanzibar #arusha #dar #dodomatanzania #mwanza
page yetu ya Nelo construction inakuwezesha wewe mwenye nyumba /fundi kupata uelewa zaid kuhusu ujenzi imara wa nyumba yako..usisite kutufuatilia kila siku kwa elimu na maarifa zaidi... #NeloConstructiontz
0745063424 DAR ES SALAAM 0798063424 DODOMA #NeloConstructiontz
TUPATE UJUZI KIDOGO #NeloConstructiontz
UKIWA MSIKILIZAJI MZURI NA MFUATILIAJI WA PAGE YETU YA NELO CONSTRUCTION UTAPATA UJUZI WA MAMBO MENGI SANA YANAYOHUSU UJENZI ,KIAS KWAMBA HATA KAMA WEWE SIO FUNDI WALA ENGINEER KUNA MAKOSA MENGI SANA UTAYAEPUKA UKIWA UNAJENGA/JENGEWA NYUMBA YAKO.. #NeloConstructiontz
TUENDELEE KUJIFUNZA.... #NeloConstructiontz
CUBE TEST..HAKUNA KU ‐GUES TUNAJALI SANA UBORA NA UIMARA WA KAZI ZOTE ZA WATEJA WETU.. #NeloConstructiontz
KARIBU NELO CONSTRUCTION AND CONSULTANT.CO.LTD UJIPATIE UJUZI KATIKA MASWALA YOTE YANAYOHUSU UJENZI..
JE, ULIKUA UNAFAHAMU HILI? #NeloConstructiontz
Haya hapa mambo 5 makuu yanayosababisha miladi kusimama: *1. Faini za Ucheleweshaji - LADs* Mkataba ukiweka faini kwa mkandarasi akichelewa, serikali huanza kukata asilimia ya pesa kwenye malipo yake. Mkandarasi akiona anakula hasara kwa hizo faini, au akijiona hana hatia kwenye ucheleweshaji, anaamua kusimamisha kazi na kwenda mahakamani kupinga makato hayo. *2. Migogoro ya Dhamana ya Utendaji - Performance Bonds* Serikali ikiwa na haki ya kutoa pesa za dhamana benki kwa sababu mkandarasi amefanya vibaya au kuchelewa, mkandarasi hukimbilia mahakamani kutafuta amri ya zuio. Hiyo amri inasimamisha ujenzi wote na shughuli zote kwenye site hadi kesi ya msingi iishe. *3. Migogoro ya Kumiliki Eneo la Mradi - Site Possession* Kisheria serikali inatakiwa kumpa mkandarasi eneo safi lisilo na mgogoro. Ikiwa kuna changamoto za fidia kwa watu waliopisha mradi, au mipaka ya eneo haijulikani vizuri, mkandarasi ana haki ya kusitisha kazi. Pia anaweza kudai hasara ya mashine zake zilizosimama bila kufanya kazi. *4. Mabadiliko Makubwa - Variations vs Addenda* Mradi ukibadilika sana na kuongeza gharama zaidi ya asilimia inayoruhusiwa na sheria ya manunuzi ya umma PPRA, huwezi kutumia mkataba ule ule. Inabidi muandike mkataba mpya wa nyongeza, Addendum. Lakini mchakato wa kuandaa na kuidhinisha ndani ya serikali huchukua miezi au miaka. Wakati huo wote mradi unabaki umesimama. *5. Ufilisi wa Mkandarasi - Insolvency/Bankruptcy* Kama kampuni ya ujenzi ikitangazwa kufilisika katikati ya mradi, mali zake zote pamoja na mkataba wa ujenzi zinaingia chini ya msimamizi wa ufilisi, Receiver Manager. Hapo kazi inasimama moja kwa moja. Kwa kifupi: mara nyingi mradi hausimami kwa sababu ya ufundi, bali kwa sababu ya kesi, faini, dhamana, au mabadiliko ya mkataba.
Au 2026-10-08, Nelo construction Co. Ltd (@neloconstruction) compte 71.7K abonnés sur TikTok.
+0 abonnés au cours des 18 derniers jours. Prévision: 71.7K abonnés dans 7 jours, 71.7K dans 30 jours (239.3K j'aime).
🤲 DOGO SIDE 👇
Youtube Channel 👇
Musician | Artist From East Africa,Tanzania Signed Under WCB Wasafi #REASON 🔽
If there is dancing there is me😎 For PROMO visit my DM📥
For Full Video on YouTube please Click here 👇👇👇👇👇👇🙏🙏
🤣Artist! performer 🌍Zenflex Performance 🔥Bookings & collabs 📩Hassanigorila603@gmail.com…