Nelo construction Co. Ltd

Nelo construction Co. Ltd

@neloconstruction

OFISI ZETU ZINAPATIKANA A.Mbezi dar es salaam B.Ilazo dodoma Namba ya ofisi :0745063424

Nelo construction Co. Ltd ist TikTok-Creator mit 71.7K Follower und 238.8K Likes. Die Videos erreichen im Schnitt 6.8K Aufrufe, bei einer Engagement-Rate von 0.2%. Meistgenutzte Hashtags: #neloconstructiontz, #dodomatanzania und #mwanza.

71.7K
Follower
8.9K
Folgt
238.8K
Likes
6.8K
Ø Aufrufe
Engagement: 0.2% Tansania 🗣️ Englisch
71.7K
Follower
238.8K
Likes gesamt
6.8K
Ø Aufrufe
2.2K
Videos
8.9K
Folgt
9.2K
Favorisiert
0.2%
Engagement

Wachstum & Prognose

+0
Follower / 18d
+1.3K
Likes gesamt / 18d
71.7K
7-Tage-Prognose (Follower)
71.7K
30-Tage-Prognose (Follower)

+0 Follower in den letzten 18 Tagen. Prognose: 71.7K Follower in 7 Tagen, 71.7K in 30 Tagen (239.3K Likes).

Geschätzte Einnahmen

Geschätzter Preis pro gesponserten Beitrag: $355 bis $1.8K, ausgehend von etwa 5 bis 25 US-Dollar pro 1.000 Follower. Das ist eine Schätzung nach Reichweite, kein gemeldetes Einkommen.

Entwicklung im Zeitverlauf

Follower

Wird geladen…

Likes gesamt

Wird geladen…

Ø Aufrufe

Wird geladen…

Reichweite %

Wird geladen…

Zuletzt aktualisiert:

TikTok-Profil

Neueste Videos

NELO CONSTRUCTION-  ILAZO DODOMA (KHALAIF PLAZA FLOOR YA PILI)
▶
▶ 2.9K ❤ 0 💬 0

NELO CONSTRUCTION- ILAZO DODOMA (KHALAIF PLAZA FLOOR YA PILI)

Nelo construction company,tunatimiza adhma ile tulioikusudia tangu mwanzo wa safari yetu ya kuelekea future yakuhakikisha yale malengo yetu matatu tunayatimiza kila mwaka #tanzania🇹🇿 #zanzibar🇹🇿 #arusha #dar #dodomatanzania🇹🇿 #mwanza
▶
▶ 30.7K ❤ 0 💬 0

Nelo construction company,tunatimiza adhma ile tulioikusudia tangu mwanzo wa safari yetu ya kuelekea future yakuhakikisha yale malengo yetu matatu tunayatimiza kila mwaka #tanzania #zanzibar #arusha #dar #dodomatanzania #mwanza

page yetu ya Nelo construction inakuwezesha wewe mwenye nyumba /fundi kupata uelewa zaid kuhusu ujenzi imara wa nyumba yako..usisite kutufuatilia kila siku kwa elimu na maarifa zaidi... #NeloConstructiontz
▶
▶ 1.1K ❤ 0 💬 0

page yetu ya Nelo construction inakuwezesha wewe mwenye nyumba /fundi kupata uelewa zaid kuhusu ujenzi imara wa nyumba yako..usisite kutufuatilia kila siku kwa elimu na maarifa zaidi... #NeloConstructiontz

0745063424 DAR ES SALAAM 0798063424 DODOMA #NeloConstructiontz
▶
▶ 1.6K ❤ 0 💬 0

0745063424 DAR ES SALAAM 0798063424 DODOMA #NeloConstructiontz

TUPATE UJUZI KIDOGO #NeloConstructiontz
▶
▶ 668 ❤ 0 💬 0

TUPATE UJUZI KIDOGO #NeloConstructiontz

UKIWA MSIKILIZAJI MZURI NA MFUATILIAJI WA PAGE YETU YA NELO CONSTRUCTION UTAPATA UJUZI WA MAMBO MENGI SANA YANAYOHUSU UJENZI ,KIAS KWAMBA HATA KAMA WEWE SIO FUNDI WALA ENGINEER KUNA MAKOSA MENGI SANA UTAYAEPUKA UKIWA UNAJENGA/JENGEWA NYUMBA YAKO.. #NeloConstructiontz
▶
▶ 35.3K ❤ 0 💬 0

UKIWA MSIKILIZAJI MZURI NA MFUATILIAJI WA PAGE YETU YA NELO CONSTRUCTION UTAPATA UJUZI WA MAMBO MENGI SANA YANAYOHUSU UJENZI ,KIAS KWAMBA HATA KAMA WEWE SIO FUNDI WALA ENGINEER KUNA MAKOSA MENGI SANA UTAYAEPUKA UKIWA UNAJENGA/JENGEWA NYUMBA YAKO.. #NeloConstructiontz

TUENDELEE KUJIFUNZA.... #NeloConstructiontz
▶
▶ 1.2K ❤ 0 💬 0

TUENDELEE KUJIFUNZA.... #NeloConstructiontz

CUBE TEST..HAKUNA KU ‐GUES TUNAJALI SANA UBORA NA UIMARA WA KAZI ZOTE ZA WATEJA WETU.. #NeloConstructiontz
▶
▶ 1.3K ❤ 0 💬 0

CUBE TEST..HAKUNA KU ‐GUES TUNAJALI SANA UBORA NA UIMARA WA KAZI ZOTE ZA WATEJA WETU.. #NeloConstructiontz

KARIBU NELO CONSTRUCTION AND CONSULTANT.CO.LTD  UJIPATIE UJUZI KATIKA MASWALA YOTE YANAYOHUSU UJENZI..
▶
▶ 10K ❤ 0 💬 0

KARIBU NELO CONSTRUCTION AND CONSULTANT.CO.LTD UJIPATIE UJUZI KATIKA MASWALA YOTE YANAYOHUSU UJENZI..

JE, ULIKUA UNAFAHAMU HILI? #NeloConstructiontz
▶
▶ 619 ❤ 0 💬 0

JE, ULIKUA UNAFAHAMU HILI? #NeloConstructiontz

Haya hapa mambo 5 makuu yanayosababisha miladi kusimama:
 
 *1. Faini za Ucheleweshaji - LADs*  
 Mkataba ukiweka faini kwa mkandarasi akichelewa, serikali huanza kukata asilimia ya pesa kwenye malipo yake. Mkandarasi akiona anakula hasara kwa hizo faini, au akijiona hana hatia kwenye ucheleweshaji, anaamua kusimamisha kazi na kwenda mahakamani kupinga makato hayo.
 
 *2. Migogoro ya Dhamana ya Utendaji - Performance Bonds*  
 Serikali ikiwa na haki ya kutoa pesa za dhamana benki kwa sababu mkandarasi amefanya vibaya au kuchelewa, mkandarasi hukimbilia mahakamani kutafuta amri ya zuio. Hiyo amri inasimamisha ujenzi wote na shughuli zote kwenye site hadi kesi ya msingi iishe.
 
 *3. Migogoro ya Kumiliki Eneo la Mradi - Site Possession*  
 Kisheria serikali inatakiwa kumpa mkandarasi eneo safi lisilo na mgogoro. Ikiwa kuna changamoto za fidia kwa watu waliopisha mradi, au mipaka ya eneo haijulikani vizuri, mkandarasi ana haki ya kusitisha kazi. Pia anaweza kudai hasara ya mashine zake zilizosimama bila kufanya kazi.
 
 *4. Mabadiliko Makubwa - Variations vs Addenda*  
 Mradi ukibadilika sana na kuongeza gharama zaidi ya asilimia inayoruhusiwa na sheria ya manunuzi ya umma PPRA, huwezi kutumia mkataba ule ule. Inabidi muandike mkataba mpya wa nyongeza, Addendum. Lakini mchakato wa kuandaa na kuidhinisha ndani ya serikali huchukua miezi au miaka. Wakati huo wote mradi unabaki umesimama.
 
 *5. Ufilisi wa Mkandarasi - Insolvency/Bankruptcy*  
 Kama kampuni ya ujenzi ikitangazwa kufilisika katikati ya mradi, mali zake zote pamoja na mkataba wa ujenzi zinaingia chini ya msimamizi wa ufilisi, Receiver Manager. Hapo kazi inasimama moja kwa moja.
 
 Kwa kifupi: mara nyingi mradi hausimami kwa sababu ya ufundi, bali kwa sababu ya kesi, faini, dhamana, au mabadiliko ya mkataba.
▶
▶ 172 ❤ 0 💬 0

Haya hapa mambo 5 makuu yanayosababisha miladi kusimama: *1. Faini za Ucheleweshaji - LADs* Mkataba ukiweka faini kwa mkandarasi akichelewa, serikali huanza kukata asilimia ya pesa kwenye malipo yake. Mkandarasi akiona anakula hasara kwa hizo faini, au akijiona hana hatia kwenye ucheleweshaji, anaamua kusimamisha kazi na kwenda mahakamani kupinga makato hayo. *2. Migogoro ya Dhamana ya Utendaji - Performance Bonds* Serikali ikiwa na haki ya kutoa pesa za dhamana benki kwa sababu mkandarasi amefanya vibaya au kuchelewa, mkandarasi hukimbilia mahakamani kutafuta amri ya zuio. Hiyo amri inasimamisha ujenzi wote na shughuli zote kwenye site hadi kesi ya msingi iishe. *3. Migogoro ya Kumiliki Eneo la Mradi - Site Possession* Kisheria serikali inatakiwa kumpa mkandarasi eneo safi lisilo na mgogoro. Ikiwa kuna changamoto za fidia kwa watu waliopisha mradi, au mipaka ya eneo haijulikani vizuri, mkandarasi ana haki ya kusitisha kazi. Pia anaweza kudai hasara ya mashine zake zilizosimama bila kufanya kazi. *4. Mabadiliko Makubwa - Variations vs Addenda* Mradi ukibadilika sana na kuongeza gharama zaidi ya asilimia inayoruhusiwa na sheria ya manunuzi ya umma PPRA, huwezi kutumia mkataba ule ule. Inabidi muandike mkataba mpya wa nyongeza, Addendum. Lakini mchakato wa kuandaa na kuidhinisha ndani ya serikali huchukua miezi au miaka. Wakati huo wote mradi unabaki umesimama. *5. Ufilisi wa Mkandarasi - Insolvency/Bankruptcy* Kama kampuni ya ujenzi ikitangazwa kufilisika katikati ya mradi, mali zake zote pamoja na mkataba wa ujenzi zinaingia chini ya msimamizi wa ufilisi, Receiver Manager. Hapo kazi inasimama moja kwa moja. Kwa kifupi: mara nyingi mradi hausimami kwa sababu ya ufundi, bali kwa sababu ya kesi, faini, dhamana, au mabadiliko ya mkataba.

▶
▶ 1.1K ❤ 0 💬 0

Häufige Fragen

Wie viele Follower hat Nelo construction Co. Ltd?

Am 2026-10-08 hat Nelo construction Co. Ltd (@neloconstruction) 71.7K TikTok-Follower.

Wie schnell wächst Nelo construction Co. Ltd auf TikTok?

+0 Follower in den letzten 18 Tagen. Prognose: 71.7K Follower in 7 Tagen, 71.7K in 30 Tagen (239.3K Likes).

Ähnliche Creator

Top TikTok-Creator in Tansania

Alle ansehen →
ZAYOOO @zayooo27
#6

For Full Video on YouTube please Click here 👇👇👇👇👇👇🙏🙏

Follower
5.9M
Likes
87.5M
Aufrufe
267.7K
Engag.
1.1%
Hassangorila 27 @hassangorilathebornbreac
#7

🤣Artist! performer 🌍Zenflex Performance 🔥Bookings & collabs 📩Hassanigorila603@gmail.com…

Follower
5.5M
Likes
42.2M
Aufrufe
44.5K
Engag.
1.4%