Uzazi salama +255758032303

Uzazi salama +255758032303

@dr.pendoo

Elimu ya afya ya uzazi kwa mwanaume na mwanamke ❤️ Afya ni faragha, elimu ni kinga. #education #care #support 📞Call +255758032303

Uzazi salama +255758032303 เป็นครีเอเตอร์ TikTok มีผู้ติดตาม 119.8K และยอดไลก์ 154.6K วิดีโอมียอดวิวเฉลี่ย 465 ครั้ง อัตราการมีส่วนร่วม 0.1% แฮชแท็กที่ใช้บ่อยที่สุด: #usa #canada_life และ #australia

119.8K
ผู้ติดตาม
11
กำลังติดตาม
154.6K
ยอดไลก์
465
ยอดวิวเฉลี่ย
อัตราการมีส่วนร่วม: 0.1% แทนซาเนีย 🗣️ อังกฤษ
119.8K
ผู้ติดตาม
154.6K
ยอดไลก์รวม
465
ยอดวิวเฉลี่ย
2.2K
วิดีโอ
11
กำลังติดตาม
3.9K
รายการโปรด
0.1%
อัตราการมีส่วนร่วม

การเติบโตและคาดการณ์

+3.4K
ผู้ติดตาม / 19d
+3.9K
ยอดไลก์รวม / 19d
121.1K
คาดการณ์ 7 วัน (ผู้ติดตาม)
125.2K
คาดการณ์ 30 วัน (ผู้ติดตาม)

+3.4K ผู้ติดตามใน 19 วันที่ผ่านมา. คาดการณ์: 121.1K ผู้ติดตามใน 7 วัน, 125.2K ใน 30 วัน (156K ถูกใจ).

เป้าหมายถัดไป: ผู้ติดตาม 250K คาดว่าจะถึงในอีกประมาณ 728 วัน (ราว 2028-10-05) ตามอัตราปัจจุบัน

รายได้โดยประมาณ

ค่าโพสต์สปอนเซอร์โดยประมาณ: $595 ถึง $3K คำนวณจากราว 5–25 ดอลลาร์ต่อผู้ติดตาม 1,000 คน เป็นเพียงการประมาณจากขนาดผู้ชม ไม่ใช่รายได้ที่รายงานจริง

การเติบโตตามช่วงเวลา

ผู้ติดตาม

กำลังโหลด…

ยอดไลก์รวม

กำลังโหลด…

ยอดวิวเฉลี่ย

กำลังโหลด…

การเข้าถึง %

กำลังโหลด…

อัปเดตล่าสุด:

โปรไฟล์ TikTok

วิดีโอล่าสุด

#australia🇦🇺 #canada_life🇨🇦 #usa🇺🇸 #tanzaniantiktok🇹🇿 #unitedkingdom🇬🇧
▶
▶ 538 ❤ 0 💬 0

#australia #canada_life #usa #tanzaniantiktok #unitedkingdom

PID (Pelvic Inflammatory Disease) ni maambukizi kwenye mfumo wa uzazi wa mwanamke, mara nyingi yakihusisha kizazi, mirija ya uzazi na ovari. Ikichelewa kutibiwa inaweza kuleta madhara makubwa. Madhara ya PID 1. Mirija ya uzazi kuziba  inaweza kufanya mbegu za kiume kushindwa kufika kwenye yai. 2. Ugumu wa kupata ujauzito (utasa) – hasa ikiwa mirija imeharibika. 3. Mimba kutunga nje ya kizazi (ectopic pregnancy) – kutokana na uharibifu wa mirija. 4. Maumivu ya muda mrefu chini ya tumbo/nyonga. 5. Maumivu wakati wa tendo la ndoa. Mabaka/uvimbe wenye usaha kwenye mirija au  ovari (tubo-ovarian abscess), ambao unaweza kuwa hatari. PID kurudia ikiwa chanzo hakitatibiwa au mwenza hakutibiwa inapohitajika. ⚠️ Muhimu: PID inaweza kuwepo hata bila dalili kubwa. Kama kuna maumivu ya chini ya tumbo, uchafu wenye harufu, maumivu wakati wa tendo, homa au kutokwa damu isiyo ya kawaida, ni muhimu kufanyiwa uchunguzi na kupewa antibiotics sahihi na mtoa huduma wa afya.#usa🇺🇸 #canada_life🇨🇦 #dodomatanzania🇹🇿 #unitedkingdom🇬🇧 #tanzaniantiktok🇹🇿
▶
▶ 988 ❤ 0 💬 0

PID (Pelvic Inflammatory Disease) ni maambukizi kwenye mfumo wa uzazi wa mwanamke, mara nyingi yakihusisha kizazi, mirija ya uzazi na ovari. Ikichelewa kutibiwa inaweza kuleta madhara makubwa. Madhara ya PID 1. Mirija ya uzazi kuziba inaweza kufanya mbegu za kiume kushindwa kufika kwenye yai. 2. Ugumu wa kupata ujauzito (utasa) – hasa ikiwa mirija imeharibika. 3. Mimba kutunga nje ya kizazi (ectopic pregnancy) – kutokana na uharibifu wa mirija. 4. Maumivu ya muda mrefu chini ya tumbo/nyonga. 5. Maumivu wakati wa tendo la ndoa. Mabaka/uvimbe wenye usaha kwenye mirija au ovari (tubo-ovarian abscess), ambao unaweza kuwa hatari. PID kurudia ikiwa chanzo hakitatibiwa au mwenza hakutibiwa inapohitajika. ⚠️ Muhimu: PID inaweza kuwepo hata bila dalili kubwa. Kama kuna maumivu ya chini ya tumbo, uchafu wenye harufu, maumivu wakati wa tendo, homa au kutokwa damu isiyo ya kawaida, ni muhimu kufanyiwa uchunguzi na kupewa antibiotics sahihi na mtoa huduma wa afya.#usa #canada_life #dodomatanzania #unitedkingdom #tanzaniantiktok

Maambukizi yakiachwa bila matibabu yanaweza kupanda kutoka ukeni kwenda kwenye kizazi na mirija ya uzazi, kusababisha PID (uvimbe/maambukizi ya mfumo wa uzazi) na kuacha makovu kwenye mirija. Hapo yai lililorutubishwa linaweza kushindwa kusafiri vizuri kwenda kwenye mfuko wa uzazi na likajipandikiza kwenye mrija—ndiyo mimba ya nje ya mfuko wa uzazi. Kwa hiyo mnyororo wa kitaalamu ni: Maambukizi → PID → uharibifu/makovu ya mirija → usafirishaji wa yai kuvurugika → hatari ya mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi kuongezeka.#unitedkingdom🇬🇧 #usa🇺🇸 #tanzaniantiktok🇹🇿 #canada_life🇨🇦 #camerroontiktok🇨🇲
▶
▶ 717 ❤ 0 💬 0

Maambukizi yakiachwa bila matibabu yanaweza kupanda kutoka ukeni kwenda kwenye kizazi na mirija ya uzazi, kusababisha PID (uvimbe/maambukizi ya mfumo wa uzazi) na kuacha makovu kwenye mirija. Hapo yai lililorutubishwa linaweza kushindwa kusafiri vizuri kwenda kwenye mfuko wa uzazi na likajipandikiza kwenye mrija—ndiyo mimba ya nje ya mfuko wa uzazi. Kwa hiyo mnyororo wa kitaalamu ni: Maambukizi → PID → uharibifu/makovu ya mirija → usafirishaji wa yai kuvurugika → hatari ya mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi kuongezeka.#unitedkingdom #usa #tanzaniantiktok #canada_life #camerroontiktok

Kupungua kwa ute wa asili wa uke wakati wa msisimko. Kuhisi kubana au kukereketa ndani ya uke. Kutokwa na damu kidogo baada ya tendo kutokana na msuguano. Kuhisi haja ya kukojoa mara kwa mara au usumbufu wakati wa kukojoa#australia🇦🇺 #usa🇺🇸 #mwanza #canada_life🇨🇦 #tanzaniantiktok🇹🇿
▶
▶ 187 ❤ 0 💬 0

Kupungua kwa ute wa asili wa uke wakati wa msisimko. Kuhisi kubana au kukereketa ndani ya uke. Kutokwa na damu kidogo baada ya tendo kutokana na msuguano. Kuhisi haja ya kukojoa mara kwa mara au usumbufu wakati wa kukojoa#australia #usa #mwanza #canada_life #tanzaniantiktok

#tanzaniantiktok🇹🇿 #usa🇺🇸 #canada_life🇨🇦 #australia🇦🇺 #camerroontiktok🇨🇲
▶
▶ 168 ❤ 0 💬 0

#tanzaniantiktok #usa #canada_life #australia #camerroontiktok

#unitedkingdom🇬🇧 #canada_life🇨🇦 #usa🇺🇸 #australia🇦🇺 #camerroontiktok🇨🇲
▶
▶ 164 ❤ 0 💬 0

#unitedkingdom #canada_life #usa #australia #camerroontiktok

+255758032303#foryoupage❤️❤️ #australia🇦🇺 #unitedstatesofamerica🇺🇸 #unitedstatesofamerica🇺🇸 #unitedstatesofamerica🇺🇸
▶
▶ 1.1K ❤ 0 💬 0

+255758032303#foryoupage❤️❤️ #australia #unitedstatesofamerica #unitedstatesofamerica #unitedstatesofamerica

+255758032303#unitedstatesofamerica🇺🇸 #australia🇦🇺 #usa🇺🇸 #australia🇦🇺 #usa🇺🇸
▶
▶ 861 ❤ 0 💬 0

+255758032303#unitedstatesofamerica #australia #usa #australia #usa

#australia🇦🇺 #canada_life🇨🇦 #tanzaniantiktok🇹🇿 #usa🇺🇸 #unitedkingdom🇬🇧
▶
▶ 142 ❤ 0 💬 0

#australia #canada_life #tanzaniantiktok #usa #unitedkingdom

#unitedkingdom🇬🇧 #usa🇺🇸 #tanzaniantiktok🇹🇿 #canada_life🇨🇦 #australia🇦🇺
▶
▶ 215 ❤ 0 💬 0

#unitedkingdom #usa #tanzaniantiktok #canada_life #australia

Hongera sana Madam Regina yote ni mapenzi ya Mungu congratulations 👏 juhudi lazima zilete matokeo Mungu ajalie zaidi uzazi wako umebarikiwa sasa 🙏🙏💕💕💕💕💕🔥🔥🔥🔥🔥+255758032303#usa🇺🇸 #australia🇦🇺 #zambiantiktok🇿🇲 #unitedstatesofamerica🇺🇸 #tanzaniantiktok🇹🇿
▶
▶ 607 ❤ 0 💬 0

Hongera sana Madam Regina yote ni mapenzi ya Mungu congratulations 👏 juhudi lazima zilete matokeo Mungu ajalie zaidi uzazi wako umebarikiwa sasa 🙏🙏💕💕💕💕💕🔥🔥🔥🔥🔥+255758032303#usa #australia #zambiantiktok #unitedstatesofamerica #tanzaniantiktok

#unitedkingdom🇬🇧 #usa🇺🇸 #dodomatanzania🇹🇿 #canada_life🇨🇦 #usa🇺🇸
▶
▶ 150 ❤ 0 💬 0

#unitedkingdom #usa #dodomatanzania #canada_life #usa

คำถามที่พบบ่อย

Uzazi salama +255758032303 มีผู้ติดตามกี่คน

ณ วันที่ 2026-10-08 Uzazi salama +255758032303 (@dr.pendoo) มีผู้ติดตามบน TikTok 119.8K

Uzazi salama +255758032303 เติบโตบน TikTok เร็วแค่ไหน

+3.4K ผู้ติดตามใน 19 วันที่ผ่านมา. คาดการณ์: 121.1K ผู้ติดตามใน 7 วัน, 125.2K ใน 30 วัน (156K ถูกใจ).

ครีเอเตอร์ที่คล้ายกัน

อันดับครีเอเตอร์ TikTok #usa ในแทนซาเนีย

ดูทั้งหมด →
elizamideko @eliza_midek
#3

Actress KARIBU NIKUTANGAZIE BIASHARA YAKO ☎️CALL & WHATSAPP +255688817289

ผู้ติดตาม
1.3M
ยอดไลก์
9.7M
ยอดวิว
52.6K
มีส่วนร่วม
0.4%