Halisi MAX

Halisi MAX

@halisimax

Gusa Link Tufatilie zaidi Kupitia YouTube 👇

Halisi MAX è un creator di TikTok con 197.3K follower e 1.5M like. I suoi video fanno in media 420K visualizzazioni, con un tasso di engagement del 0.5%. Hashtag più usati: #tiktoktanzania, #tanzania e #tanzaniatiktok.

197.3K
Follower
75
Seguiti
1.5M
Like
420K
Visual. medie
Engagement: 0.5% Tanzania 🗣️ inglese
Collaborazioni: @diamondplatnumz @nkoneupendo
197.3K
Follower
1.5M
Like totali
420K
Visual. medie
1.6K
Video
75
Seguiti
6.5K
Preferiti
0.5%
Engagement

Crescita e previsioni

+1.6K
Follower / 18d
+0
Like totali / 18d
197.9K
Previsione 7 giorni (Follower)
200K
Previsione 30 giorni (Follower)

+1.6K follower negli ultimi 18 giorni. Previsione: 197.9K follower tra 7 giorni, 200K tra 30 giorni (1.5M like).

Prossimo traguardo: 250K follower, previsto tra circa 593 giorni (intorno al 2028-05-22) al ritmo attuale.

Guadagni stimati

Tariffa stimata per post sponsorizzato: da $985 a $4.9K, calcolata su circa 5-25 dollari ogni 1.000 follower. È una stima basata sulla dimensione del pubblico, non un reddito dichiarato.

Crescita nel tempo

Follower

Caricamento…

Like totali

Caricamento…

Visual. medie

Caricamento…

Copertura %

Caricamento…

Ultimo aggiornamento:

Profilo TikTok

Video recenti

Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Upendo Nkone, ametoa ufafanuzi baada ya ujumbe wake wa awali kuzua mjadala na kutafsiriwa na baadhi ya watu kuwa alikuwa akipinga waimbaji wa nyimbo za Injili kushirikiana na wasanii wa muziki wa secular. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Nkone amesema ujumbe alioutoa ulikuwa ushauri wa kiroho kwa watumishi wa Mungu na kwamba hakumtaja mtu yeyote kwa jina, lakini ameshangazwa kuona akitajwa katika mijadala mbalimbali. Aidha, amewashukuru watu kwa upendo na mchango wao wa kumsaidia kupata gari kwa ajili ya kazi ya Injili, huku akisema yuko tayari kulitumia gari hilo kwa ajili ya kusaidia yatima endapo atapata mnunuzi. Nkone pia amewaomba wafuasi wake kumtafuta Dada Restybura ili washirikiane katika kutafuta mteja wa gari hilo, akieleza kuwa fedha zitakazopatikana angependa zipelekwe kwa yatima, huku yeye akibaki na Yesu na kuanza upya kazi ya kuhubiri Injili kwa amani. @nkoneupendo ameandika  —— WATU WA MUNGU,BWANA YESU ASIFIWEE🙌👏♥️.NATUMAINI MUNGU AMEWATUNZA MKO SALAMA. NILITOA USHAURI WA KIROHO KWA WATUMISHI WOOTE WA MUNGU.NA SIKUMTAJA JINA MTU YEYOTEE.ILA NAONA NIMETAJWA DUNIANI KOOTE.SIJUI HAPO SHERIA INASEMAJE KWA WALIONITAJA JINA HATA SIELEWII.ILA NAWASHUKURU MNOO KWA UPENDO WENU MKUBWA KWANGU🙌♥️.NARUDIA TENA KUWASHUKURU KWA KUNICHANGIA GARI LA INJILI🙏👏.SASA NAWAOMBENI MNIITIE DADA RESTYBURA ILI TUPATE MTEJA CHAAP TUUZE GARI YETU (NDINGA) HALAFU PESA YOOTE TUIPELEKE KWA YATIMA TUITOE HUKO,HALAFU NIBAKIE NA YESU WANGU NIANZE UPYAA, NIPIGE ZANGU INJILI YA YESU KRISTO KWA AMANI.HALAFU NIMNGOJE BWANA ATANIPA TEENAA.AU MNASEMAJE WATU WA MUNGU? NJOONI SASA TUSHAURIANE..NIITIENI KONTAWA(DADA REST)🙏🙏. Hata hivyo, ujumbe huo umeondolewa kwenye Instagram yake, huku ukiendelea kupatikana kwenye ukurasa wake wa Facebook. #tanzaniatiktok #Tanzania #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktoktanzania
▶
▶ 33K ❤ 0 💬 0

Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Upendo Nkone, ametoa ufafanuzi baada ya ujumbe wake wa awali kuzua mjadala na kutafsiriwa na baadhi ya watu kuwa alikuwa akipinga waimbaji wa nyimbo za Injili kushirikiana na wasanii wa muziki wa secular. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Nkone amesema ujumbe alioutoa ulikuwa ushauri wa kiroho kwa watumishi wa Mungu na kwamba hakumtaja mtu yeyote kwa jina, lakini ameshangazwa kuona akitajwa katika mijadala mbalimbali. Aidha, amewashukuru watu kwa upendo na mchango wao wa kumsaidia kupata gari kwa ajili ya kazi ya Injili, huku akisema yuko tayari kulitumia gari hilo kwa ajili ya kusaidia yatima endapo atapata mnunuzi. Nkone pia amewaomba wafuasi wake kumtafuta Dada Restybura ili washirikiane katika kutafuta mteja wa gari hilo, akieleza kuwa fedha zitakazopatikana angependa zipelekwe kwa yatima, huku yeye akibaki na Yesu na kuanza upya kazi ya kuhubiri Injili kwa amani. @nkoneupendo ameandika —— WATU WA MUNGU,BWANA YESU ASIFIWEE🙌👏♥️.NATUMAINI MUNGU AMEWATUNZA MKO SALAMA. NILITOA USHAURI WA KIROHO KWA WATUMISHI WOOTE WA MUNGU.NA SIKUMTAJA JINA MTU YEYOTEE.ILA NAONA NIMETAJWA DUNIANI KOOTE.SIJUI HAPO SHERIA INASEMAJE KWA WALIONITAJA JINA HATA SIELEWII.ILA NAWASHUKURU MNOO KWA UPENDO WENU MKUBWA KWANGU🙌♥️.NARUDIA TENA KUWASHUKURU KWA KUNICHANGIA GARI LA INJILI🙏👏.SASA NAWAOMBENI MNIITIE DADA RESTYBURA ILI TUPATE MTEJA CHAAP TUUZE GARI YETU (NDINGA) HALAFU PESA YOOTE TUIPELEKE KWA YATIMA TUITOE HUKO,HALAFU NIBAKIE NA YESU WANGU NIANZE UPYAA, NIPIGE ZANGU INJILI YA YESU KRISTO KWA AMANI.HALAFU NIMNGOJE BWANA ATANIPA TEENAA.AU MNASEMAJE WATU WA MUNGU? NJOONI SASA TUSHAURIANE..NIITIENI KONTAWA(DADA REST)🙏🙏. Hata hivyo, ujumbe huo umeondolewa kwenye Instagram yake, huku ukiendelea kupatikana kwenye ukurasa wake wa Facebook. #tanzaniatiktok #Tanzania #tanzaniantiktok #tiktoktanzania #tiktoktanzania

Zuchu akifungua kwa mara ya kwanza Box la sabuni Pendwa Za Mche Za #Wasafisoap  Zuchu anasema yeye binafsi Anapenda Rangi Za Package Na harufu ya Sabuni 🧼 👃  wewe umependa nini kwenye package ya Wasafisoap? #wasafisoap #wasafitv  #usafikamawote #zuchu #zuchu_official #zuchu_wcb #wcbwasafi #wasafisoap #tanzania #tanzaniatiktok #tanzania🇹🇿 #tanzaniantiktok🇹🇿 #tanzaniatiktok🇹🇿 #tiktoktanzania #tiktoktanzania🇹🇿 #kenya #kenyantiktok🇰🇪 #kenyantiktok #kenyansinqatar🇶🇦🇶🇦🇰🇪🇰🇪 #kenyancomedy
▶
▶ 1.2M ❤ 0 💬 0

Zuchu akifungua kwa mara ya kwanza Box la sabuni Pendwa Za Mche Za #Wasafisoap Zuchu anasema yeye binafsi Anapenda Rangi Za Package Na harufu ya Sabuni 🧼 👃 wewe umependa nini kwenye package ya Wasafisoap? #wasafisoap #wasafitv #usafikamawote #zuchu #zuchu_official #zuchu_wcb #wcbwasafi #wasafisoap #tanzania #tanzaniatiktok #tanzania #tanzaniantiktok #tanzaniatiktok #tiktoktanzania #tiktoktanzania #kenya #kenyantiktok #kenyantiktok #kenyansinqatar #kenyancomedy

"Betting sio Ajira sitamani Vijana Wajihusihe na Kamari" Mbunge Babalevo  #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #tiktoktanzania🇹🇿  #tanzaniatiktok  #babalevo
▶
▶ 146 ❤ 0 💬 0

"Betting sio Ajira sitamani Vijana Wajihusihe na Kamari" Mbunge Babalevo #tanzaniantiktok #kenyantiktok #tiktoktanzania #tanzaniatiktok #babalevo

Hapa ilikuwa ni kwenye kipindi cha Papaso enzi hizo ambapo mtangazaji alikuwa @djaroarungu kupitia TBC fm @diamondplatnumz Akifanya mahojiano. Zitaje nickname zake nyingine ✍️ #tanzania #kenyantiktok  #tanzaniatiktok  #kenyantiktok🇰🇪  #diamondplatnumz
▶
▶ 8.4K ❤ 0 💬 0

Hapa ilikuwa ni kwenye kipindi cha Papaso enzi hizo ambapo mtangazaji alikuwa @djaroarungu kupitia TBC fm @diamondplatnumz Akifanya mahojiano. Zitaje nickname zake nyingine ✍️ #tanzania #kenyantiktok #tanzaniatiktok #kenyantiktok #diamondplatnumz

Binti mmoja jijini Arusha, ambaye jina lake limehifadhiwa, anadaiwa kubakwa na kulawitiwa na vijana wanne katika Mtaa wa Sanare, Kata ya Daraja Mbili. Binti huyo, aliyekuwa akisajili laini za simu, amesema tukio hilo lilitokea wakati akiwa katika shughuli zake za kazi. Pia amesema hakuwa amewahi kufanya mapenzi kabla ya tukio hilo (Alikuwa Bado Bikra). #tanzaniantiktok🇹🇿 #Arusha  #tanzaniatiktok #tanzania🇹🇿 #tiktoktanzania🇹🇿
▶
▶ 845 ❤ 0 💬 0

Binti mmoja jijini Arusha, ambaye jina lake limehifadhiwa, anadaiwa kubakwa na kulawitiwa na vijana wanne katika Mtaa wa Sanare, Kata ya Daraja Mbili. Binti huyo, aliyekuwa akisajili laini za simu, amesema tukio hilo lilitokea wakati akiwa katika shughuli zake za kazi. Pia amesema hakuwa amewahi kufanya mapenzi kabla ya tukio hilo (Alikuwa Bado Bikra). #tanzaniantiktok #Arusha #tanzaniatiktok #tanzania #tiktoktanzania

Si mnaonabwenyewe wanamuanza Wenyewe Dudubaya Mambaz24 ? #tanzaniatiktok #Tanzania #tanzaniatiktok #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktoktanzania
▶
▶ 1.3K ❤ 0 💬 0

Si mnaonabwenyewe wanamuanza Wenyewe Dudubaya Mambaz24 ? #tanzaniatiktok #Tanzania #tanzaniatiktok #tiktoktanzania #tiktoktanzania

Kama wewe ni mfatiliaji wa muziki wa Bongofleva hili Beat limetoka katika wimbo gani? #tanzania #tanzaniantiktok🇹🇿  #tanzania🇹🇿 #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktoktanzania
▶
▶ 285 ❤ 0 💬 0

Kama wewe ni mfatiliaji wa muziki wa Bongofleva hili Beat limetoka katika wimbo gani? #tanzania #tanzaniantiktok #tanzania #tiktoktanzania #tiktoktanzania

Mtumiaji wa mitandao ya kijamii, @sharifa3728, ambaye ni.Mtanzania anayeishi  Marekani amezungumzia sakata la Upendo Nkone na mjadala unaoendelea kuhusu baadhi ya watu waliowahi kumchangia, ambao baadaye hutumia msaada huo kama sababu ya kumkosoa au alipotoa maoni yake watu wakisema alikuwa akilenga kuikoa kolabo ya Joel Lwaga na Diamond Platnumz. Sharifa amesema, “ Mtu Ukikubali kuchangiwa na ndugu au Watanzania, watu wanatumia hiyo chance kukubana.” Kauli hiyo imeibua mjadala mwingine: Je, mtu akipokea msaada kutoka kwa jamii, anapaswa kuwa tayari kukosolewa au kukumbushwa msaada huo kila anapotoa maoni yanayopingana na waliomsaidia?  Au msaada ni msaada na haupaswi kuwa fimbo ya kumchapia mtu baadaye? #tanzaniatiktok #tanzania #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktoktanzania
▶
▶ 42.8K ❤ 0 💬 0

Mtumiaji wa mitandao ya kijamii, @sharifa3728, ambaye ni.Mtanzania anayeishi Marekani amezungumzia sakata la Upendo Nkone na mjadala unaoendelea kuhusu baadhi ya watu waliowahi kumchangia, ambao baadaye hutumia msaada huo kama sababu ya kumkosoa au alipotoa maoni yake watu wakisema alikuwa akilenga kuikoa kolabo ya Joel Lwaga na Diamond Platnumz. Sharifa amesema, “ Mtu Ukikubali kuchangiwa na ndugu au Watanzania, watu wanatumia hiyo chance kukubana.” Kauli hiyo imeibua mjadala mwingine: Je, mtu akipokea msaada kutoka kwa jamii, anapaswa kuwa tayari kukosolewa au kukumbushwa msaada huo kila anapotoa maoni yanayopingana na waliomsaidia? Au msaada ni msaada na haupaswi kuwa fimbo ya kumchapia mtu baadaye? #tanzaniatiktok #tanzania #tanzaniantiktok #tiktoktanzania #tiktoktanzania

Hivi huyo dogo wa kwanza Anajua kiongozi aliyepishana naye ni kiongozi Namba mbili Tanzania 🤫 #tanzania #tanzaniatiktok #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktoktanzania
▶
▶ 147.6K ❤ 0 💬 0

Hivi huyo dogo wa kwanza Anajua kiongozi aliyepishana naye ni kiongozi Namba mbili Tanzania 🤫 #tanzania #tanzaniatiktok #tanzaniantiktok #tiktoktanzania #tiktoktanzania

Madereva Waliogoma wametolewa hofu kwamba point wanazokatwa ni majaribio tu hakuna Leseni itakayofungiwa. #tanzaniantiktok🇹🇿 #tanzaniatiktok #tiktoktanzania🇹🇿 #tanzania #tanzania🇹🇿
▶
▶ 20K ❤ 0 💬 0

Madereva Waliogoma wametolewa hofu kwamba point wanazokatwa ni majaribio tu hakuna Leseni itakayofungiwa. #tanzaniantiktok #tanzaniatiktok #tiktoktanzania #tanzania #tanzania

WASTARA 😢  #halisimediatz #halisinewsflash #tanzania #tanzania🇹🇿 #tanzaniantiktok🇹🇿 #tanzaniantiktok🇹🇿 #tanzaniatiktok🇹🇿 #tiktoktanzania #tiktoktanzania #kenyantiktok🇰🇪 #kenyantiktok #kenya
▶
▶ 1.9M ❤ 0 💬 0

WASTARA 😢 #halisimediatz #halisinewsflash #tanzania #tanzania #tanzaniantiktok #tanzaniantiktok #tanzaniatiktok #tiktoktanzania #tiktoktanzania #kenyantiktok #kenyantiktok #kenya

Dunia ina Mambo! 🤫🤫 #tanzaniantiktok🇹🇿  #tanzaniatiktok #tanzania #tanzania🇹🇿 #tiktoktanzania🇹🇿
▶
▶ 5.7K ❤ 0 💬 0

Dunia ina Mambo! 🤫🤫 #tanzaniantiktok #tanzaniatiktok #tanzania #tanzania #tiktoktanzania

Domande frequenti

Quanti follower ha Halisi MAX?

Al 2026-10-07, Halisi MAX (@halisimax) ha 197.3K follower su TikTok.

Quanto velocemente cresce Halisi MAX su TikTok?

+1.6K follower negli ultimi 18 giorni. Previsione: 197.9K follower tra 7 giorni, 200K tra 30 giorni (1.5M like).

Creator simili

Top creator di TikTok #tiktoktanzania in Tanzania

Vedi tutti →