Email: business@camptize.co.tz Manager: @frankestainp Vote for zerobrainer 👇👇👇👇
- Seguidores
- 20.3M
- Me gusta
- 212.7M
- Vistas
- 366.1K
- Interac.
- 0.5%
@inteligent_org
⚽ Football news, transfers & highlights | 💬 "This is it" | 🔄 "Now we move" | 🔏 "It's locked"
Inteligent_org es creador de contenido en TikTok, con 5.9K seguidores y 25.4K me gusta. Sus videos promedian 52.4K reproducciones, con una tasa de interacción de 0.6%. Hashtags más usados: #inteligentsports, #footballnews y #premierleague.
Última actualización:
🚨 SHERIA MPYA PREMIER LEAGUE 2026/27! 🧤 Premier League imeanzisha majaribio ya sheria mpya itakayosaidia kupunguza matumizi ya majeraha ya walinda mlango kama mbinu ya kupoteza muda au kuvunja kasi ya mchezo. Kuanzia msimu wa 2026/27, mchezo ukisimamishwa kwa ajili ya matibabu ya golikipa, mchezaji mmoja wa timu hiyo atalazimika kutoka nje ya uwanja kwa angalau dakika 1 ya mchezo baada ya mchezo kuanza tena. Lengo la sheria hii ni kuongeza muda halisi wa mchezo, kulinda ushindani wa haki na kuondoa faida yoyote inayotokana na kuchelewesha mchezo. 📰 Chanzo: Premier League (taarifa rasmi). 💬 Je, unaunga mkono sheria hii mpya? #premierleague #footballnews #epl #gamechanger #inteligentsports
Kila Mwanasimba, unaposali kwa ajili yako, usisahau kumuombea Ibrahim Doumbia katika sala zako. 🙏🦁 📖 Muongozo wa Sala — Rudia kila mstari unaotaja jina la Doumbia, kama inavyooneshwa kwenye picha hapo juu, kisha utie nia yako. 🙏 NIA ZA SALA: 1️⃣ Doumbia apate goli lake la kwanza kwenye Ligi Kuu ya NBC. 2️⃣ Doumbia awe Mfungaji Bora wa ligi. 3️⃣ Doumbia aivushe @simbasctanzania hatua ya makundi ya CAFCL. 4️⃣ Doumbia aifunge @yangasc katika kila mashindano tutakayokutana nao. Amina. 🙏🦁 #ibrahimdoumbia #simbasc #nguvumoja #NBCPremierLeague #cafchampionsleague
kilichomponza ufala, kujiona simba kumbe swala
A 2026-10-11, Inteligent_org (@inteligent_org) tiene 5.9K seguidores en TikTok.
Email: business@camptize.co.tz Manager: @frankestainp Vote for zerobrainer 👇👇👇👇
Musician, Owner #WCBWasafi #WasafiTV #WasafiFM #WasafiBet #WasafiSoap
NEWA MOVIE AFTER SCHOOL 👇
HANDSOME OF THE WORLD Comedian from Tanzania and East Africa
Youtube Channel 👇
musician from east Africa BET Award winner #CHUI🐯
If there is dancing there is me😎 For PROMO visit my DM📥