memekeydad

mekeydad

@mekeydad

0705357475.

mekeydad ist TikTok-Creator mit 1.6K Follower und 2.4K Likes. Die Videos erreichen im Schnitt 601 Aufrufe, bei einer Engagement-Rate von 2.1%. Meistgenutzte Hashtags: #vihigatiktokers, #onthisday und #oldisgold.

1.6K
Follower
2.1K
Folgt
2.4K
Likes
601
Ø Aufrufe
Engagement: 2.1%
1.6K
Follower
2.4K
Likes gesamt
601
Ø Aufrufe
73
Videos
2.1K
Folgt
0
Favorisiert
2.1%
Engagement

Wachstum & Prognose

Zuletzt aktualisiert7-Tage-Prognose30-Tage-Prognose
Follower1.6K▲ 🔒 Pro🔒 Pro
Likes gesamt2.4K▲ 🔒 Pro🔒 Pro
Videos73🔒 Pro🔒 Pro
Ø Aufrufe601▲ 🔒 Pro🔒 Pro

Vollständigen Bericht freischalten

Kontakt-E-Mail, Wachstumsverlauf und Prognosen sowie das komplette Videoarchiv sind Teil von Pro.

Vollständigen Bericht ansehen →

Pro ist während der Beta kostenlos: jetzt testen, keine Kreditkarte nötig.

Zuletzt aktualisiert:

TikTok-Profil

Neueste Videos

Neuestes Video: 2026-10-01

#onthisday
▶
▶ 348 ❤ 0 💬 0

#onthisday

USINUNUE VIFARANGA KABLA HUJAKAMILISHA VITU HIVI 10  wengi hupata hasara si kwa sababu vifaranga ni vibaya, bali kwa sababu hawakujiandaa kabla havijafika. Hakikisha umekamilisha haya kwanza: ✅ 1. Banda lipo tayari – Liwe safi, kavu na lenye hewa ya kutosha. ✅ 2. Brooder ipo tayari – Joto liwe sahihi kabla ya vifaranga kufika. ✅ 3. Chakula kimenunuliwa – Starter feed ya kutosha kwa siku za mwanzo. ✅ 4. Maji safi yapo – Vyombo vya kunyweshea viwe safi na tayari kutumika. ✅ 5. Vifaa muhimu vipo – Feeders, drinkers, taa ya joto na maranda. ✅ 6. Ratiba ya chanjo unayo – Jua chanjo gani itatolewa na lini. ✅ 7. Dawa na vitamini vya msingi vipo – Kwa matumizi pale vinapohitajika kwa ushauri wa daktari wa mifugo. ✅ 8. Chanzo cha vifaranga umehakiki – Nunua kutoka kwa wazalishaji wanaoaminika. ✅ 9. Muda wa kuwahudumia upo – Siku za mwanzo zinahitaji uangalizi wa karibu. ✅ 10. Bajeti imekamilika – Usiwe na fedha za kununua vifaranga pekee, hakikisha pia una fedha za chakula, chanjo na gharama nyingine za uendeshaji. Kumbuka: Maandalizi mazuri kabla ya vifaranga kufika ndiyo msingi wa kupunguza vifo na kuongeza faida. Miqdad Ali -afisa wa mifugo .kuku ni Mali#onthisday #vihigatiktokers #oldisgold #vihigacounty #manahouse
▶
▶ 1.3K ❤ 0 💬 0

#oldisgold
▶
▶ 531 ❤ 0 💬 0

#oldisgold

Häufige Fragen

Wie viele Follower hat mekeydad?

Am 2026-11-03 hat mekeydad (@mekeydad) 1.6K TikTok-Follower.

Ähnliche Creator

Top TikTok-Creator #vihigatiktokers weltweit

Alle ansehen →