Email: Manager: @frankestainp Vote for zerobrainer 👇👇👇👇
- Followers
- 20.3M
- Likes
- 213M
- Views
- 259.9K
- Engage
- 0.5%
@uttamis
UTT AMIS | FINANCE | INVESTMENT Investment Management Company uttamis.co.tz
UTTAMIS is a TikTok creator in Tanzania with 22.8K followers and 34.6K likes. Their videos average 12.1K views, an engagement rate of 2.2%. Most-used hashtags: #uttamis, #ukuajiwapamoja and #mifukoyetu.
Estimated rate per sponsored post: $110 to $550, based on roughly $5 to $25 per 1,000 followers. This is an estimate from audience size, not reported income.
Last updated:
Latest video: 2026-01-24
Kipindi cha 14 cha UTT Live Series msimu wa 4 tunawaletea darasa kamili la namna bora za kugawanya kipato kwa ajili ya uwekezaji. Je, unaona kipato chako kidogo sana? Au pengine ni kikubwa lakini hujui jinsi ya kukigawanya? Tunatambua changamoto hii inawakumba wawekezaji wengi. Katika kipindi hiki, tutazungumzia kwa undani mbinu za kugawanya fedha kwa ajili ya uwekezaji ili uweze kufanikisha malengo yako. Tutakuwa live na Clinton Kilawe – Afisa Uwekezaji kutoka UTT AMIS pamoja na Alford Chiombola – Client Service Manager kutoka Trueno Consultancy. Jiunge nasi live kupitia Tiktok siku ya Jumamosi, tarehe 6 Septemba kuanzia saa 5:00 asubuhi tujifunze uwekezaji kwa pamoja. Kwa mawasiliano: 📞 Tupigie bure kupitia 0800 112020 kwa taarifa zaidi 📧 Tutumie barua pepe kupitia uwekezaji@uttamis.co.tz / marketing@uttamis.co.tz #uttamis #ukuajiwapamoja #agmutt #Uwekezaji #MutualFunds #Fedha #JifunzeUwekezaji #retirement #personalfinance #investinginchildrenandcommunity #retirementplanning #retirementgoals #mifukoyetu #vipande #wekeza #akiba #akibahaiozi #saving #investment #save #children #investinginchildren
UTT AMIS ina mifuko sita ya uwekezaji wa pamoja, ambapo kila mfuko una sifa na malengo yake. Ni muhimu kwa kila mwekezaji kuifahamu kwa undani mifuko hii kabla ya kuanza safari yake ya uwekezaji. Katika kipindi kijacho, tutazungumzia kwa kina kuhusu mifuko ya uwekezaji kutoka UTT AMIS ili kujenga uelewa sahihi kwa kila mwekezaji. Tutakuwa live na Benedicto Raphael – Afisa Uendeshaji kutoka UTT AMIS pamoja na Anna Chinyoyo – Mwanzilishi wa Trueno Consultancy na Business Development Lead kutoka UTT AMIS. Jiunge nasi live kupitia TikTok siku ya Jumamosi, tarehe 13 Septemba kuanzia saa 5:00 asubuhi, tujifunze uwekezaji kwa pamoja. Kwa mawasiliano: 📞 Piga simu bure kupitia 0800 112020 kwa taarifa zaidi 📧 Tuma barua pepe kupitia uwekezaji@uttamis.co.tz / marketing@uttamis.co.tz #uttamis #ukuajiwapamoja #agmutt #uwekezaji #mutualfunds #fedha #jifunzeuwekezaji #retirement #personalfinance #investinginchildrenandcommunity #retirementplanning #retirementgoals #mifukoyetu #vipande #wekeza #akiba #akibahaiozi #saving
Usikose kesho with @Anna Chinyoyo
UTTAMIS (@uttamis) has 22.8K TikTok followers as of 2026-10-15.
Email: Manager: @frankestainp Vote for zerobrainer 👇👇👇👇
Musician, Owner #WCBWasafi #WasafiTV #WasafiFM #WasafiBet #WasafiSoap
NEWA MOVIE AFTER SCHOOL 👇
HANDSOME OF THE WORLD Comedian from Tanzania and East Africa
Youtube Channel 👇
Musician | Artist From East Africa,Tanzania Signed Under WCB Wasafi #REASON 🔽
musician from east Africa BET Award winner #CHUI🐯