Email: Manager: @frankestainp
- Followers
- 20.3M
- Likes
- 213.8M
- Views
- 337.5K
- Engage
- 0.5%
@mbundason
📝 Mshauri. 🫂 Mahusiano • Ndoa • Maisha ☎️ +255 754 66 86 86.
MBUNDASON is a TikTok creator in Tanzania with 8.6K followers and 37.6K likes. Their videos average 33.4K views, an engagement rate of 0.8%. Most-used hashtags: #inspiration, #badilikauishi and #motivation.
Last updated:
Latest video: 2026-05-25
WACHACHE TU WATAELEWA UKIMYA WAKO,LAKINI WENGI WATAONA KAMA UNA WADHARAU.Huo ndio ukweli kama unapokuwa kimya kuna baadhi ya watu watakuona wewe ni mwenye dharau sana kundi dogo sana ndio litakaloelewa umaana wa ukimya wako,kuna namna nyingi za kujua tabia za wanao kuzunguka ndugu jamaa na marafiki zako. ...#BadilikaUishi #inspiration #followers #motivation
ADUI MKUBWA WA MAISHA YAKO NI UOGA WAKO,ACHA UOGA NA THUBUTU.Kuna wakati unaogopa kufanya mambo au vitu ambavyo vitakupa faida wewe lakini unaogopa kuthubutu kwa sababu vitu hivyo vitaonekana kama vinakudhalilisha,kumbuka kwamba hao unao wanao waona kuwa utajidhalilisha kwao ,siku ukiwa na shida hawawezi kukusaidia tena katu utabaki na shida zako,acha uoga thubutu kila kitu kinawezekana.#BadilikaUishi #inspiration #motivation #followers
MAHUSIANO.Ewe mwanamke kuingia kwenye ndoa sio hoja sana hoja ni kuyaishi maisha ya ndoa,mumeo akijua kuwa ameoa furaha na tulizo la moyo wake basi ndoa hiyo itakuwa na Nuru. Na wewe mwanaume kuwa na ndoa Sio hoja,hoja ni kuwa mume na baba bora kwa mkeo na watoto,mkeo akijua ana mwanaume ajuae thamani yake basi ndoa yenu lazima idumu.#BadilikaUishi #inspiration #motivation #followers
MBUNDASON 🇹🇿 (@mbundason) has 8.6K TikTok followers as of 2026-10-24.
Email: Manager: @frankestainp
Musician, Owner #WCBWasafi #WasafiTV #WasafiFM #WasafiBet #WasafiSoap
NEWA MOVIE AFTER SCHOOL 👇
HANDSOME OF THE WORLD Comedian from Tanzania and East Africa
Youtube Channel 👇
Musician | Artist From East Africa,Tanzania Signed Under WCB Wasafi #REASON 🔽
musician from east Africa BET Award winner #CHUI🐯
If there is dancing there is me😎 For PROMO visit my DM📥